TFRA KUWEKEZA KATIKA UJENZI WA VIWANDA VYA MBOLEA NCHINI

NA MWANDISHI WETU-DODOMA. Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Dtk Stephane Ngailo  amesema kuwa wataendelea kuhimiza na kuhamasisha wawekezaji kushirikiana na serikali ikiwemo kituo cha uwekezaji ,kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya mbolea  hapa nchini . Dkt Ngailo Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na kituo hiki wakati akielezea mipango ya Taasisi hiyo